UTAMBULISHO RASMI WA MISS DAR CITY CENTRE 2014

washiriki wa Miss Dar city centre 2014 wakiwa katika picha ya pamoja
na waandaji wa shindano hilo wakati wa utambulisho
kwa waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Maisha club leo.
shindano hilo litafanyika tarehe 24/05/2014 katika ukumbi wa
Dar es salaam free market (century cinema).
wote mnakaribishwa!

0 comments: