REDDS MISS DAR CITY CENTRE 2014

Lile shindano mlilokuwa mkisubiria kwa hamu sasa lina karibia! Njoo ushudie warembo watakaochuana kuwania taji hilo siku ya tarehe 24/05/2014 jumamosi katika ukumbi wa Dar Free Market ( century cinema) Karibu na ubalozi wa Kenya kuanzia saambili na nusu usiku (08:30 usiku)..........................WOTE MNAKARIBISHWA!

0 comments: