MISS DAR CITY CENTRE (talent show)

Photography : Justine Kazaura
Event: Miss dar City centre ( talent)

Haya yalikuwa mashindano ya  kumsaka "Miss Dar City Centre talent" yaliyofanyika Maisha club tarehe 16/05/2014, ambapo chief judge wa mashindano hayo alikuwa Latifa Mohamed pamoja na Alice Mwakatika na Flaviana Maeda.


Latifa Mohamed (kushoto) chief judge


Watumbuizaji wa usiku huo walikuwa wasanii wa bongo fleva Ambao ni TID na Rich Mavoko

TID akitumbuiza jukwaani


Rich Mavoko akiwa tumbuiza watazamaji
Baadhi ya watazamaji waliouzuria Miss Dar city centre Talent

Wanaofata ni warembo  wahiriki wa Miss Dar City Centre wakiwa wanaonyesha vipaji vyao
Akionesha kipaji cha kucheza
Mshiriki akionesha kipaji chake cha kucheza
Kipaji cha kucheza Mziki
kipaji cha kucheza mziki

kipaji cha kuimba

kipaji cha kuimba

kipaji cha kuimba ( taarab)
kipaji cha kuimba

kipaji cha kuimba

Kipaji cha ubunifu
Kipaji cha ubunifu


Chief judge ( Latifa Mohamed) akitangaza washindi walioweza kuingia tano bora
usiku huo

Washindi walioingia tano bora ni
Neema sesano akifatiwa na Hatma Rashidi,Dorica David,Francisca Simon na Samantha Dezzy

0 comments: