Vanessa Mdee na Rangi Nyeusi

Nimekuwa nikiangalia picha sana za mtandaoni na nilichogundua ni kwamba Vanessa mdee msanii wetu hapa Tanzania na aneye iwakilisha nchii yetu huko nje anapendelea kuvaa nguo NYEUSI ukilinganisaha na rangi nyingine hizi ni baadhi ya picha zake.
Je? wee unahisi Vanessa anapendeza kwa rmavazi ya rangi nyeusi? nakaribisha maoni

0 comments: