WASHIRIKI WA MISS DAR CITY CENTRE

Hawa ni warembo waliopo kambini watakao shiriki mashindano ya kumsaka Miss Dar city centre siku ya tarehe 24/05/2014  


Name : Jihan Dimachk
Born: 17/06/1996
                                                                       Jihan Dimechk kama muwakilishi wa warembo wanzake malengo na matarajio yake ni kushinda taji la Miss Dar City Centre ili aweze kuendelea na safari yake ya kuingia mashindano  ya kumsaka Miss Wilaya (ilala), ambayo yatamuwezesha kushiriki  mashindano ya kumsaka Miss Tanzania 2014


0 comments: