MISS DAR CITY CENTRE 2014 talent show
Miss Dar  City centre 2014 kwa wale wapenzi na mashabiki wa michuano ya miss Tanzania kaeni tayari kwa ajiri ya kumsaka mrembo atakaye shinda katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss talent, michuano hiyo itafanyika Maisha Club tarehe 16/05/2014 kiingilio kitakuwa shilingi elfu kumi ( 10,000 shtz) wote mnakaribishwa


0 comments: