"DESTROY WHAT DESTROYS YOU"

Photography : Justine Kazaura

Design & retouch : Adelina Tibesigwa

Theme : Drug Abuse (Destroy what destroys you)

Wiki hii tumekuwa na Amina Athumani ambaye ni officially model wa ageny yetu tuliyoianzisha ila kitu muhimu kwa sasa hivi ni ujumbe alioubeba katika picha zake na pozi zake  ambazo zina husu uhamasishaji wa kuacha kutumia madawa ya kulevya.

Kama tunavyojua swala la utumiaaji wa madawa ya kulevya ni moja ya janga la taifa na asilimia kubwa ya watu ambao wamekuwa wakiusiana nayo ni vijana hiyo haina mjandala tumewasikia na kuawona  wengi waliokumbwa na wanaokumbwa na madawa ya kulevya awe  anatumia,awe anasambaza au kusafirisha mtu wa aina hyo tayari yupo kwenye mkumbo wa madawa ya kulevya

Ninavyo amini utmiaji wa madawa ya kulevya sio kitu kizuri cha kufanya kwasababu mwisho wa siku utaishia kujijutia kwasabu maisha yako yote utakuwa unabomoa basi na kama ubomoi basi hatua zako za uzarishaji na mchango wako katika jamii utakuwa kwenye kiwango cha china sana, kazi yako utaishia kutamani maisha ya wenzako walio hatua za mbele na hicho najua hakuna mtu anayependa kuona hivyo, cha muhimu kaa mbali nayo tafuta njia mbandala ya kuweza kuepukana nayo zipo njia nyingi! unaweza hata ukajiusisha na michezo badala ya kukaa bure!

Usikubali madawa yakulevya yakuangamize anza wewe kwa kuyaangamiza!
kwa picha zaidi za Amina tembelea plofile lake http://lightstudio6.wix.com/lsmodelagency#!profiles/c1wvk