KILL MUSIC AWARD 2014 (PICHA)

PHOTOGRAPHY : Justine Kazaura
Event : Kill music award 2014

Yani tokeaa kill Music award imeanza hii ya jana imependeza tukianzaia na ukumbi ahadi watu wenyewe hadi tunzo! walio fanya kazi zaoo kwa juhudi na kujituma na kukubalika kwa watu matunda yao waliyaona kwa kupokea tunzo kama kina Vanesa Mdee , isha Mashauzi , Fid Q, na wengine wengi ambao natumaini mnawajua ila Diamond Platnumz  ndo aliongoza kwa kuwa na tuzo nyingi na kuvunja record ambayo haijawai kutokea katika ugawaji wa tunzo! na haya ni baadhi ya matukio tuliyo yakamata!