Photography : Justine Kazaura
Event: Bang Magazine 10th anniversary
Wiki iliyopita tarehe 25/06/2014 Bang magazine walikuwa wakisherekea kutimiza miaka kumi ya jarida lao tangu lianzishwe na haya ni baadhi ya matukio katika picha,
| Red carpert kwa picha |
| Red carpert kwa picha |
| Miss Tanzania naye akiwa red Carpert |
| Emelda Mwamanga akitoa chet cha pongezi kwa staff wake |
| Emmelda akikabidhi cha Pingezi |
| Ufunguzzi wa shampeini |
| Muda wa kukata keki |
| Staff wakilishana keki |
| Emelda akilishwa Keki |
| Kinywaji cha pamoja |
| wakisherekea kinywaji cha pamoja |
| Muziki ukifunguliwa |
| Mashabiki wakifurahia na kucheza mziki wa Yvonne Sangudi |
| The voice nao walikuwepo |
| Red carpert |
| Moja ya Red carpert Ya Emelda Na Yvonne |
| Mziki wa pamoja |
| Picha ya pamoja |
| Buti ya Vyonne aliyokuwa ameavalia usiku huo wakati akitumbuiza |
| Moja wa shabiki wa Yvonne katika pozi |
0 comments:
Post a Comment