BIBI BOMBA 2014

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA
EVENT : BIBI BOMBA 2014


Jana  tarehe  27/06/2014 Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014  yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa  Saadani Parking national hotel, mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango na aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano.


Mgeni rasmi akiingia ukumbini

Baadhi ya washiriki wa bibi bomba

Khadija Kopa akitumbuiza

Mashabiki wakiburudika na muziki wa taarab

Mdhamini mkuu akitoa neno

Mkurugenzi wa TWB akitoa neno
kama mmoja wa  wadhamini

Timu mzima ya TWB

Mkurugenz wa TWB akizindua jarida la Bibi Bomba


Mgeni rasmi akitoa neno

Wahiriki wa Bibi bomba waliofanikiwa
kuingia fainali

Wadhamini katika meza zao

Harakati za kumtangaza mshindi
 Washiriki wa Bibi bomba wakipewa zawadi


Bi Rusi Baada ya kutangazwa mshindi
wa Bibi Bomba 2014

Bi Rusi akikabidhiwa zawadi yake

Mashabiki wakimshangilia Mshindi

Bi Rusi akiwa ameshikiria Hati ya kiwanja kama
moja ya zawadi yake

Mkurugenzi wa TWB akitoa pongezi zake

Picha ya pamoja

Picha ya pamoja

Picha ya pamoja

Picha ya pamoja 

Washiriki wa Bibi Bomba na mbunifu
wa mavazi yao

Bi Rusi na mbunifu wa vazi lake

Bi Rusi akipewa pongenzi  na mmoja wa washabiki

0 comments: