REDDS MISS TANZANIA KUTEMBELEA SHAMBA LA MAUA

 WAREMBO KUTEMBELEA SHAMBA LA MAUA LA KILIFLOWER L.T.D
Redds miss Tanzania watembelea shamba la mauala Kiliflower LTD lililopo jijini Arusha kwa ajili ya kungalia na kujifunza elimu inayohusianana utunzaji wa maua.

Warembo wakiingia katika shamba la maua

Shamba la Maua

Mkurugenzi wa Kilifrola  LTD Jerry E.C Goh akiwapa warembo zawadi ya Maua 

Waembo wakipata elimu juu ya utunzaji wa Maua

Jerry E.C Goh akitoa elimu juu ya utunzaji wa Maua

Jerry E.C Goh akitoa elimu juu ya utunzaji wa Maua kwa warembo

Waermbo wakikabidhiwa zawadi ya Maua

Warembo katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa shamba la Maua la Kiliflower LTD 


   

0 comments: