REDDS MISS TANZANIA KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU

REDDS MISS TANZANIA KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU
Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2014 wajitolea kufanya usafi wa mazingira walipoitembelea hospitali ya mount Meru ilyopo jijini Arusha

Warembo katioka picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Mount Meru 


warembo wakifnya Usafi wa MazingiraMmoja w awarmbo akiweka taka kwenye mfuko

Baadhi ya warembo wakikusanya Taka

Mrembo akisafisha mazingira

Warembo wakiwa wanaksanya taka

Warembo wakikusanya taka

Warembo wakinawa mikono baada ya kumaliza kusafisha mazingira

0 comments: