MARIE STOPERS WAADHIMISHA SIKU YA UZAZI WA MPANGO DUNIANI NA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA 2014

MARIE STOPPERS WAADHIMISHA SIKU YA UZAZI WA MPANGO DUNIANI NA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA 2014 KATIKA HOSPITALI YAO ILIYOPO MKOANI ARUSHA. MARIE STOPPERS NI MMOJA WA WADHAMINI REDDS MISS TANZANIA 2014. MAADHIMISHO HAYA YANAFANYIKA KILA TAREHE 26 SEPTEMBA KILA MWAKA.

Warembo wa Redds miss Tanzania wakiwasili hospitali ya Marie stoppers mkoani Arusha
Baadhi ya warembo wa Redds Miss Tanzania wakiangalia vipeperushi vinavyohusu uzazi wa mpangoMkuu wa kituo Rehema Eliraha akionesha warembo moja ya njia ya kutumia uzai wa mpango

Mkuu wa kituo Rehema Eliraha akionesha warembo moja ya njia ya kutumia uzai wa mpango

Baadhi ya warembo wakiangalia vifaa mbali mbail vinavyotumika kufundishia uzai wa mpango
Balozi wa Marie stoppers Narieta Boniface akiwa katika pozi

Balozi wa Marie stopper Nalieta Boniface aktoa mafunzo juu ya matumizi ya njia za uzai wa mpango

Balozi wa Marie stopper Nalieta Boniface aktoa mafunzo juu ya matumizi ya njia za uzai wa mpango

Warembo wakifatilia jambo

Balozi wa Marie Stopper aktoa msisitizo juu ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango
Afisa habari wa Marie stoppers Johnbosco Baso akifundisha baadhi za njia za uzai wa mpango
Warembo wakisikiliza mafunzo ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango

Warembo wakisikiliza mafunzo ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango

Washiriki wa Miss Tanzania pamoja na wafanyakazi wa Marie Stoppers wakiwa katika picha ya pamoja
Washiriki wa Miss Tanzania pamoja na wafanyakazi wa Marie Stoppers wakiwa katika picha ya pamoja

0 comments: