REDDS MISS TOP MODEL 2014

REDDS MISS TOP MODEL 2014
Redds Miss top model yafanyikia mkoani Arusha mjini Karatu katika ukumbi wa Tripple A, ambapo mgeni rasmi wa shindano hilo alikuwa mkuu wa wilaya ya karatu Mh.Nyerembe D.Munasa Sabi. Aliyeibuka kuwa mshindi wa shindano hilo la Redds Miss top model 2014 ni mshiriki mwakilishi kutoka wilaya Ilala ambaye kwa jina ni Jihan Dimechk, tazama picha kwa habari zaidi.

JIHANI DIMECHK MWAKILISHI WA WILAYA YA ILALA NDIYE ALIYESHINDA NA KUTWA TAJI LA MISS TOP MODEL 2014

MISS OPEN UNIVERSTY.MARIAM SHWAIB

MISS ARUSHA.LILIAN KAMAZIMA

MISS IRINGA. MARTHA JOHN

MISS DAR CITY CENTRE. NASREEN ABDUL

MISS CENTRAL ZONE. DORICE MOLELI


MISS TEMEKE. SITI MTEMVU

MISS GEITA. RACHAEL CLAVERY


MISS KULASINI.SALAMA SALEHE

MISS KINONDONI MARIA SHILA

MISS NORTHEN.EVELYN BAHASA

MISS CHANG'OMBE. PATRICIA PONTIAN

MISS HIGHE LEARNING.SOPHIE MASEI


MISS EASTERN ZONE.LUCY JULIUS

MISS DAR CITY CENTRE. SABINA THOMAS

MISS NORTHEN ZONE.HAPPINES SAMWEL.

MISS MTWARA. DINAH KATUNZI

MISS SOUTHERN ZONE.MAUREEN GODFREY

MISSSHINYANGA. NICOLE SALAKIKYA

MISS LAKE ZONE. MARY EMMENUEL

MISS SINZA. DOREEN BENO

MISS MWANZA.DOREEN ROBERT

MISS DAR INDIAN OCEAN. CAMILA JOHN

MISS IFM.LILIAN TIMOTHY


MISS SINZA.QUEEN LATIFAH HASHIM

MISS USTAWI COLLEGE. JUNES NDALIMA

JIHAN DIMECHK. MISS ILALA

NABA MAGAMBO.MISS MTWARAMAJAJI WAKISHAURIANA JAMBO

JAJI AKITANGAZA WALIONGIA TANO BORA YA MISS TOP MODEL

MH. HASHIM LUNDENGA AKISIKILIZA NANI ATAINGIA TANO BORA

MEZA YA MASHABIKI WA REDDS MISS TANZANIA 2014

VANESSA MDEE AKITUMBUIZA NA STAGE SHOW WAKE

VANESSA MDEE AKUTUMBUIZA

VANESSA MDEE AKUTUMBUIZA

VANESSA MDEE AKUTUMBUIZA

VANESSA MDEE AKUTUMBUIZA

JIHAN DIMECHK BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI MISS TOP MODEL 2014

JIHAN DIMECHK BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI MISS TOP MODEL 2014

WASHIRIKI WALIOFANIKIWA KUINGIA TANO BORA WAKIPONGEZANA KWA FURAHA

WASHIRIKI TANO BORA WA MISS TOP MODEL KATIKA PICHA YA PAMOJA

MKUU WA WILAYA YA KARATU MH. NYEREMBE AKITOA ZAWADI YA TUNZO KWA WASHIRIKI WALIOFANIKIWA KUNGIA TATU BORA YA MISS TOP MODEL 2014

MKUU WA WILAYA YA KARATU MH. NYEREMBE AKITOA ZAWADI YA TUNZO KWA WASHIRIKI WALIOFANIKIWA KUNGIA TATU BORA YA MISS TOP MODEL 2014

MKUU WA WILAYA YA KARATU MH. NYEREMBE AKITOA ZAWADI YA TUNZO KWA WASHIRIKI WALIOFANIKIWA KUNGIA TATU BORA YA MISS TOP MODEL 2014

WASHIRIKI TATU BORA WA MISS TOP MODEL WAKIWA NA ZAWADI ZAO

MH. HASHIM LUNDENGA AKITOA NENO

PICHA YA PAMOJA YA MGENI RASMI NA WASHIRIKI TANO BORA WA MISS TOP MODEL 2014


0 comments: