NYEKUNDU KWENYE NYEUSI NA NYEUPE

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA

MODEL : MACKLINE ALEXENDER

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME: NYEKUNDU KWENYE NYEUSI NA NYEUPE

Wazo hili nimelipata  au nimelitoa kwenye wimbo mfulani hivi niliokuwa nikiuangalia nilipo kuwa studio, siwezi kutaja ni wimbo gani make siujui ila namjua msanii ambaye ni "chris brown", nimependa  ma "effect" yaliyo kuwa kwenye video yani rangi nyeusi nyeupe na nyekundu basi na mimi pale pale nikanaz mikakati  ya kupata  picha zangu hizi mbili ambazo nimezitngeneza  hadi kufikia matokeo niliyoyataka

nimeamua kutumia rangi hizi tatu kwasababu ndizo rangi zinazopendwa na watu kwa asilimia kubwa na tena kwa asilimia hizo hizo kubwa ndizo rangi mbazo zinawaka! au kwa lugha nyingine tunasema "black red and white are  the colors that brings attention" na hicho ndicho chanzo cha pili cha mimi kutengeneza hizi picha.......

Pia napenda kutoa shukrani zangu kwa huyu mrembo aliyekubali tumpige picha make lilikuwa jambo na wazo la haraka haraka kama nilivyo sema tokea mwanzo wazo nimelipata kutoka kwenye wimbo nikaanza kulifanyia kazi hapo hapo na wala mrembo hakujiandaa ila amefanya kazi nzuri kwa hiyo shukrani zangu zimfikie!

kwa picha zake zaidi na nyingi unaruhusiwa kuangalia kwenye gallery yetu na bado unaweza kuangalia kuangalia ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570 

Bado mawazo ni mengi ya mimi kuku weka wewe Update na nini kinachoendelea kwenye studio yetu kwa hiyo siwezi kukuaga kwa leo zaidi nakutakia "siku njema"  jisikie huru kuingalia hii blog muda wowote na wakati wowote,.