POZI ZA ABBYKAZI

PHOTOGRAAPHY :  JUSTINE KAZAURA

CLIENT : ABBYKAZI

DESIGN & RETOUCH ;ADELINA TIBESIGWA

POZI ZA ABBYKAZI

Jana Abbykazi alipiga picha studioni kwetu, tena kwa staili mbali mbali, najua nilihaidi kuwaonesha picha za action lakini nimeshindwa kujizuia, nikasema "ebu hacha wazione hizi kwanza alafu wataniambia"Kwanza kabisa alikuja studioni na kama masihara akawa anapigwa picha zimepigwa picha nyingi sana, katika kuangaliaangalia tukaziona hizi picha baadhi  tukazipenda sio kwamba tunamjaza sifa ila picha ni nzuri, isitoshe ukiniuliza mimi jinsi ninavyoona ntasema naona pozi nzuri, rangi nzuri na mpangalio mzuri, siwezi kuusemea moyo wa mtu kwa sababu siwezi kujua wewe unonaje ukipenda kutoa maoni yako unaweza ukaniachia "message" kwenye chatbox yetu au kwenye email yangu, au ukatufata kwenye facebook page yetu https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

zaidi ya hayo ukitaka kumwngalia Abbykazi vizuri zaidi pamoja na picha nyingine basi unakaribishwa kwenye gallery yetu
"story" ya leo ni fupi! ila natumaini ume "enjoy"