SMILE WITH POTRAIT SHOTS

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA

DESIGN&RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : SMILE WITH POTRAIT SHOTS

Nimeshinda studio siku nzima nkifiria niwawekee nini leo kwenye hii blogu mara ghafla Hemed PHD kama wengi tunavyomtambua, akaingia! sikujua wazo limeanzaaje lakini  pale tu Justine alivyokuwa akimpiga picha basi na mii nikaingilia nikaanza kumwambia "hebu piga shoots za kichwa hapo tutapata potrait nzuri!", kama kawaida  yake Justine akaanza kumpanga katika mapozi mbalimbali ili tupate shots tunayoitaka na tukaipata! basi nami hapo hapo nikakusanya baadhi ya potrait zilizokuwepo studio ndo kuja na mada hii leo....Potrait photography kutokana na mimi ninavyo ielewa ni zile aina za picha ambazo  zinapigwa zikiwa na madhumuni ya kuonyesha hisia flani ya kitu hasa hasa kwa upande wa binadaamu, na pia nina hamini kwamba picha aina za potrait huwa hazipigwi  kuonesha sehemu nzima ya mwili wa binadamu sana sana huwa zina onesha nusu ya mwili wa binadamu hasa hasa sura kwani hisia zote huelezewa usoni! k


Basi na mimi nikaona hilo  lisinipitea kwa siku ya leo ngoja niwaonesheni picha hizo za potrait zinavyokuwa, ni picha chache  zinazoonyesha hali fulani ya furaha. ukitaka kuziona vizuri,karibu kwenye gallery yetu au  unaweza kutembelea Facebook page yetu https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570   Cha zaidi endelea kutabasamu na potrait, mpaka wakati mwingine, kwa heri...............